Vifurushi Vya Social | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

Mitandao Ya Kijamii

Mitandao Ya Kijamii

WhatsApp na Facebook

Bei Viwango Muda wa Kudumu Kitendo
1,000 1 GB MASAA 24  Nunua Sasa
2,000 3 GB SIKU 7  Nunua Sasa
5,000 8 GB SIKU 30  Nunua Sasa

WhatsApp na Instagram

Bei Viwango Muda wa Kudumu Kitendo
1,000 1 GB MASAA 24  Nunua Sasa
2,000 3 GB SIKU 7  Nunua Sasa
5,000 8 GB SIKU 30  Nunua Sasa

Facebook,WhatsApp,Instagram&Twitter

Bei Viwango Muda wa kudumu Kitendo
1,500 2 GB MASAA 24  Nunua Sasa
3,000 6 GB SIKU 7  Nunua Sasa
8,000 16 GB SIKU 30  Nunua Sasa

Vifurushi Vya Video (Youtube)

Bei Viwango Muda wa Kudumu Kitendo
500 600 MB MASAA 24  Nunua Sasa
1,000 2 GB MASAA 24  Nunua Sasa

All rates are tax inclusive.

Maswali na Majibu ya Vifurushi vya Social

  Je, ni vegezo gani vya kuniwezesha kununua vifurushi vya Tigo?

- Wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya Social
- Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu

  Je, naweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja?

Ndio, Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.

  Je, naweza kumnunulia rafiki?

Ndio, Mteja anaweza kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha Social wakati wowote kwa siku NA anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja / mara moja kwa siku isipokuwa ofa maalum kupitia menyu ya Saizi Yako

  Je, naweza kugawa salio la kifurushi kwa mtu mwingine?

Hapana, kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.

  Ni njia zipi za malipo naweza kutumia?

Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi. 1. Kutumia Salio kuu 2. Tigo Pesa.
Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.

  Je, Kifurushi kina muda gani?

Kila kifurushi cha Social kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia 

  Je, naweza kubeba salio la Kifurushi?

Hapana, Mteja hawezi kubeba salio la kirufushi kilichoisha muda wake. Hivyo Mteja anashauriwa kutumia salio la kifurushi chake alichonunua ndani muda wa kifurushi uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia
Huduma hii itazinduliwa hivi karibuni, wateja watataarifiwa

  Ni kwa jinsi gani naweza kununua vifurushi?

Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua Social → chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au
Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au
Kupitia App ya Tigo Pesa, au Tigopesa Menyu ya *150*01# au
Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo

  Ni kwa jinsi gani naweza kuangalia salio la vifurushi vya Social?

Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi 

  Je, naweza kutumia salio la Social kwa ajili ya huduma za Roaming?

Hapana, Salio la Vifurushi vya Social hutumika kwa matumizi wa ndani ya mtandao wa Tigo pekee na si kwa matumizi ya Roaming.

  Je, naweza kutumia huduma nyingine ninapokuwa nimejiunga na vufurushi?

Ndio, Mteja hazuiliwi kutumia au kujiunga na huduma nyingine anapokua amejiunga kwenye kifurushi

  Je, naweza kutumia Salio la vifurushi vya Social kwa ajili ya Matumizi ya Intaneti?

Hapana, Vifurushi vya Social hutumika kwa matumizi huduma zilizotajwa katika vifurushi hivyo. Salio hili haliwezi kutumika kwa matumizi mengine ya Intaneti. Kwa mfano:
- Vifurushi vya Facebook na WhatsApp vinaweza kutumika tu kwa ajili ya matumizi ya Facebook na WhatsApp na si kwa huduma nyingine za Intaneti
- Vifurushi vya WhatsApp na Instagram vinaweza kutumika tu kwa ajili ya matumizi ya WhatsApp na Instagram na si kwa huduma nyingine za Intaneti
- Vifurushi vya Social vinaweza kutumika tu kwa ajili ya matumizi ya Facebook, WhatsApp, Instagram na Twitter na si kwa huduma nyingine za Intaneti

  Je, vifurushi vya social vina kipaumbele gani katika Matumizi?

Vifurushi vya social vimepewa kipaumbele katika matumizi kuliko vifurushi vingine vya Intenet. Kwa mfano: Mteja anaponunua kifurushi cha Social na akinunua kifurushi cha Intaneti, kifurushi cha Social kitaanza kutumika kwanza kabla ya kifurushi cha Intaneti bila kuangalia muda wa kifurushi wa kifurushi cha Social

Maswali na Majibu ya Vifurushi vya Video

  Je, ni vegezo gani vya kuniwezesha kununua vifurushi vya Tigo?

- Wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya Video
- Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu

  Je, naweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja?

Ndio, Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.

  Je, naweza kumnunulia rafiki?

Ndio, Mteja anaweza kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha Video wakati wowote kwa siku NA anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja / mara moja kwa siku isipokuwa ofa maalum kupitia menyu ya Saizi Yako

  Je, naweza kugawa salio la kifurushi kwa mtu mwingine?

Hapana, kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.

  Ni njia zipi za malipo naweza kutumia?

Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi. 1. Kutumia Salio kuu 2. Tigo Pesa.
Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.

  Je, Kifurushi kina muda gani?

Kila kifurushi cha Video kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia 

  Je, naweza kubeba salio la Kifurushi?

Hapana, Mteja hawezi kubeba salio la kirufushi kilichoisha muda wake. Hivyo Mteja anashauriwa kutumia salio la kifurushi chake alichonunua ndani muda wa kifurushi uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia
Huduma hii itazinduliwa hivi karibuni, wateja watataarifiwa

  Ni kwa jinsi gani naweza kununua vifurushi

Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua Video → chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au
Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au
Kupitia App ya Tigo Pesa, au Tigopesa Menyu ya *150*01# au
Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo

  Ni kwa jinsi gani naweza kuangalia salio la vifurushi vya Video?

Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi 

  Je, naweza kutumia salio la Video kwa ajili ya huduma za Roaming?

Hapana, Salio la Vifurushi vya Video hutumika kwa matumizi wa ndani ya mtandao wa Tigo pekee na si kwa matumizi ya Roaming.

  Je, naweza kutumia Salio la vifurushi vya Video kwa ajili ya Matumizi ya Intaneti?

Hapana, Vifurushi vya Video hutumika kwa matumizi huduma zilizotajwa katika vifurushi hivyo. Salio hili haliwezi kutumika kwa matumizi mengine ya Intaneti. Kwa mfano:
- Vifurushi vya YouTube vinaweza kutumika tu kwa ajili ya matumizi ya YouTube na si kwa huduma nyingine za Intaneti
- Vifurushi vya DSTV vinaweza kutumika tu kwa ajili ya matumizi ya DSTV na si kwa huduma nyingine za Intaneti
- Vifurushi vya StarTimes vinaweza kutumika tu kwa ajili ya matumizi ya StarTimes na si kwa huduma nyingine za Intaneti

  Je, naweza kutumia huduma nyingine ninapokuwa nimejiunga na vufurushi?

Ndio, Mteja hazuiliwi kutumia au kujiunga na huduma nyingine anapokua amejiunga kwenye kifurushi

Vigezo na Masharti ya Vifurushi vya Video

 • 1 Ustahiki:
  • Wateja wote Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya Video
  • Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu
 • 2Ununuzi wa vifurushi zaidi ya maramoja:

  Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.

 • 3 Kumnunulia rafiki:

  Mteja anaweza kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha Video wakati wowote kwa siku NA anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja / mara moja kwa siku isipokuwa ofa maalum kupitia menyu ya Saizi Yako

 • 4 Kugawa salio la kifurushi kwa mtu mwingine:

  Kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.

 • 5 Njia za Malipo:

  Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi. 1. Kutumia Salio kuu 2. Tigo Pesa.
  Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.

 • 6 Muda wa Kifurushi:

  Kila kifurushi cha Video kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia

 • 7 Kubeba salio la Kifurushi:

  Mteja hawezi kubeba salio la kirufushi kilichoisha muda wake. Hivyo Mteja anashauriwa kutumia salio la kifurushi chake alichonunua ndani muda wa kifurushi uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia.

 • 8 Mfumo / Jinsi ya kununua vifurushi:

  Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua Video → chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au
  Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au
  Kupitia App ya Tigo Pesa au Tigopesa Menyu ya *150*01# au
  Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo

 • 9 Jinsi ya kuangalia salio la vifurushi vya Video:

  Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi

 • 12 Matumizi ya Salio la vifurushi vya Video kwa ajili ya Roaming :

  Vifurushi vya Video hutumika kwa matumizi ndani ya nchi na si kwa matumizi ya Roaming

 • 10 Matumizi ya Salio la vifurushi vya Video kwa ajili ya Matumizi ya Intaneti :

  Vifurushi vya Video hutumika kwa matumizi huduma zilizotajwa katika vifurushi hivyo. Salio hili haliwezi kutumika kwa matumizi mengine ya Intaneti. Kwa mfano:

  • Vifurushi vya YouTube vinaweza kutumika tu kwa ajili ya matumizi ya YouTube na si kwa huduma nyingine za Intaneti
  • Vifurushi vya DSTV vinaweza kutumika tu kwa ajili ya matumizi ya DSTV na si kwa huduma nyingine za Intaneti
 • 11 Matumizi ya huduma nyingine:

  Mteja hazuiliwi kutumia au kujiunga na huduma nyingine anapokua amejiunga na kifurushi au vifurushi vya Video.

Vigezo na Masharti ya Vifurushi vya Social

 • 1 Ustahiki:
  • Wateja wote Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya Social
  • Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu
 • 2Ununuzi wa vifurushi zaidi ya maramoja:

  Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.

 • 3 Kumnunulia rafiki:

  Mteja anaweza kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha Social wakati wowote kwa siku NA anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja / mara moja kwa siku isipokuwa ofa maalum kupitia menyu ya Saizi Yako

 • 4 Kugawa salio la kifurushi kwa mtu mwingine:

  Kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.

 • 5 Njia za Malipo:

  Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi. 1. Kutumia Salio kuu 2. Tigo Pesa.
  Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.

 • 6 Muda wa Kifurushi:

  Kila kifurushi cha Social kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia

 • 7 Kubeba salio la Kifurushi:

  Mteja hawezi kubeba salio la kirufushi kilichoisha muda wake. Hivyo Mteja anashauriwa kutumia salio la kifurushi chake alichonunua ndani muda wa kifurushi uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia.

 • 8 Mfumo / Jinsi ya kununua vifurushi:

  Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua Social → chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au
  Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au
  Kupitia App ya Tigo Pesa au Tigopesa Menyu ya *150*01# au
  Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo

 • 9 Jinsi ya kuangalia salio la vifurushi vya Social :

  Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi

 • 10 Matumizi ya Salio la vifurushi vya Social kwa ajili ya Roaming :

  Vifurushi vya Social hutumika kwa matumizi ndani ya nchi na si kwa matumizi ya Roaming

 • 11 Matumizi ya Salio la vifurushi vya Social kwa ajili ya Matumizi ya Intaneti :

  Vifurushi vya Social hutumika kwa matumizi huduma zilizotajwa katika vifurushi hivyo. Salio hili haliwezi kutumika kwa matumizi mengine ya Intaneti. Kwa mfano:

  • Vifurushi vya Facebook na WhatsApp vinaweza kutumika tu kwa ajili ya matumizi ya Facebook na WhatsApp na si kwa huduma nyingine za Intaneti
  • Vifurushi vya WhatsApp na Instagram vinaweza kutumika tu kwa ajili ya matumizi ya WhatsApp na Instagram na si kwa huduma nyingine za Intaneti
  • Vifurushi vya Social vinaweza kutumika tu kwa ajili ya matumizi ya Facebook, WhatsApp, Instagram na Twitter na si kwa huduma nyingine za Intaneti
 • 12 Kipaumbele katika Matumizi ya vifurushi vya social :

  Vifurushi vya social vimepewa kipaumbele katika matumizi kuliko vifurushi vingine vya Intenet. Kwa mfano: Mteja anaponunua kifurushi cha Social na akinunua kifurushi cha Intaneti, kifurushi cha Social kitaanza kutumika kwanza kabla ya kifurushi cha Intaneti bila kuangalia muda wa kifurushi wa kifurushi cha Social.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo