Furahia bei bora za kupiga simu katika soko la Tanzania kwa kasi ya Tigo 4G ukitumia vifurushi vya Tigo Biashara. Vifurushi vyetu vipo kwa ajili ya kutimiza mahitaji ya Biashara yako na suluhusho tosha katika kifurushi husika cha mwezi. Tigo Biashara inaipa kampuni yako dhamani zaidi kuliko mitandao mingine ambayo inafaa kwaajili ya mahitaji makubwa ya kupiga simu nyingi kwa wadau,wasambuazaji na wateja wa mitandao yote. Hii yote ukiwa unafurahia bei bora ya data.
Jiunge sasa na tiGO italipa bili yako ya kwanza Jiunge Sasa
Bei (Mwezi) | ILD (Dak) | Kawaida (Dak) | SMS | Intaneti (3G/4G) |
TZS 25,000 | 0 | 850 | 5,000 | GB 1 |
TZS 40,000 | 0 | 1,300 | 5,000 | GB 1.5 |
TZS 60,000 | 0 | 2,050 | 5,000 | GB 2.5 |
TZS 100,000 | 0 | 3,500 | 5,000 | GB 4 |
TZS 150,000 | 0 | 5,800 | 5,000 | GB 5 |
TZS 250,000 | 0 | 10,500 | 5,000 | GB 7 |
Bei (Mwezi) | ILD (Dak) | Kawaida (Dak) | SMS | Intaneti (3G/4G) |
TZS 25,000 | 40 | 300 | 5,000 | GB 1 |
TZS 40,000 | 60 | 470 | 5,000 | GB 1.5 |
TZS 60,000 | 100 | 705 | 5,000 | GB 2.5 |
TZS 10,0000 | 160 | 1,200 | 5,000 | GB 4 |
TZS 150,000 | 250 | 1,700 | 5,000 | GB 5 |
TZS 250,000 | 400 | 2,900 | 5,000 | GB 7 |
Vifurushi vyote vinadumu kwa siku 30.
Bei zinajumuisha kodi la ongezeko la thamani.
Bei baada ya kifurushi kuisha(Bila kodi) - Simu ya Onnet tshs 2.0 kwa sekunde, Simu ya Xnet tshs 4.0 kwa sekunde, SMS @tshs 70 kwa unit na data @tshs. 110 kwa MB
Hakimiliki © 2019 - Tigo Tanzania