Tigo Kinara | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

TIGO KINARA VIFURUSHI– Vigezo na Masharti ya Matumizi

Swa 1: Ni nini masharti ya kuhamisha vifurushi ambavyo havijatumiwa?

Jibu: Kwa kununua kifurushi kingine cha Kinara kinacholingana MUDA WA MATUMIZI yaani wiki kwa wiki au mwezi kwa mwezi sawa na kifurushi chako kilichopita cha Kinara kabla muda wake wa ukomo /matumizi haujaisha

Swa 2: Je ni kiwango gani cha juu zaidi cha kifurushi ninachoruhusiwa kuwa nacho baada ya kuhamisha salio?

Jibu: Kiwango cha juu zaidi cha kifurushi ambacho mteja anaruhusiwa kuwa nacho baada ya kuOkoa Salio ni;

 • 1. Tigo Kinara Vifurushi vya Mwezi:
  • Intaneti ukomo: 30GB
  • Dakika ukomo: 2,000 Dakika (Mitandao Yote)
  • Dakika ukomo: 20 Dakika (Kimataifa)
  • SMS ukomo: 14,000
 • 2. Tigo Kinara Virushi vya Wiki:
  • Intaneti ukomo: 4GB
  • Dakika ukomo: 300 Dakika (Mitandao Yote)
  • SMS ukomo: 2,000

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo