Viwango vya Kawaida | Tigo Tanzania


Viwango vya Kawaida


Viwango vya Kawaida

Viwango vifuatavyo ni vya kawaida, vinajulikana kama "Lipa unavyotumia". Zinatumikia pale ambapo hujaunganishwa na kifurushi chochote.

  • Kupiga simu Tigo kwenda Tigo: 6 TZS/sek
  • Kupiga Simu mitandao mingine: 8 TZS/sek
  • SMS za ndani ya nchi: 70 TZS
  • SMS za nje ya nchi: 215 TZS
  • Internet 40 TZS/ 1Mb

Bei zinajumuisha kodi ya ongezeko la thamani.

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo