Viwango vya Tigo Pesa | Tigo Tanzania

Viwango vya kutuma na kupokea pesa kwa wateja wa Tigo Pesa. Piga *150*01#. Viwango ni kuanzia Februari 2018.   

Kiwango (Tsh) Ada kwa mteja (Tsh)
Kuanzia Mwisho Kutuma pesa kwenda
TigoPesa/Mitandao washirika
Kutoa pesa
100 999 10 N/A
1000 1999 20 300
2000 2999 35 400
3000 3999 50 550
4000 4999 65 600
5000 9999 120 850
10000 19999 310 1350
20,000 29,999 350 1,700
30,000 39,999 370 1,700
40,000 49,999 400 2,300
50,000 99,999 700 2,650
100,000 199,999 1000 3,550
200,000 299,999 1,200 5,000
300,000 399,999 1,500 6,000
400,000 499,999 1,500 6,500
500,000 599,999 2,200 7,000
600,000 799,999 3,200 7,500
800,000 1,000,000 3,200 8,000
1,000,000 3,000,000 5,000 8,000
Tukio Kuanzia Mwisho Ada
Kuweka pesa 1,000 3,000,000 BURE
Kutuma pesa kwa mteja ambaye hana akaunti ya
Tigo Pesa au akaunti ya mitandao washirika
1,000 1,000,000 Ada ya kutuma + Ada ya kutoa
Kutoa pesa kwa mteja ambaye hana akaunti ya
Tigo Pesa au akaunti ya mitandao washirika
1,000 1,000,000 BURE
Tukio Ada
Kubadilisha namba ya siri BURE
Kuangalia salio/Taarifa ndogo 50
Malipo kwa Tigo Pesa Kulingana na kiwango
Taarifa ya mwezi Ada
Mwezi jana/Mwezi huu 500
Miezi 3 1,000
Miezi 6 1,500

 

Viwango vya Kutuma Hela kutoka Tigo Pesa mpaka Benki 

Kiwango Gharama (TZS)
 Min (TZS) Max (TZS) 
 1,000  2,999 400 
3,000  4,999  600 
5,000  9,999  800 
10,000  19,999  1,200 
20,000  29,999  1,800 
30,000  49,999  2,400 
50,000  99,999  2,800 
100,000  199,999  3,600
200,000 299,999 5,000
300,000 399,999 6,000
400,000 499,999 7,000
500,000 799,999 8,000
800,000 3,000,000 9,000
Kwa maelezo zaidi juu ya vigezo na masharti ya huduma tembelea tovuti::
www.tigo.co.tz/terms-and-conditions

 

KUMBUKA:

1. Unaweza kuweka ama kupokea hadi TSh 3,000,000 kwa siku na unaweza kutoa ama kutuma hadi TSh 3,000,000 kwa siku, pia unaweza kuhifadhi

hadi TSh 5,000,000 kwa wakati mmoja kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa, kama usajili wako umekamilika.

2. Onesha kitambulisho chako kabla ya kuweka ama kutoa pesa kwa Wakala.

3. Hakikisha taarifa zako za usajili ni sahihi kwa kupiga *106# kisha 2 au piga huduma kwa wateja kwa maelezo zaidi.

4. Hesabu pesa zako na hakikisha salio lako la Tigo Pesa linaendana na muamala uliofanya kabla ya kuondoka kwa Wakala.

5. Kila mara unapotuma pesa, kumbuka kuhakiki namba ya mpokeaji kuepuka kukosea na usumbufu.

6. Hakikisha unahifadhi namba yako ya siri (PIN) kwa usalama. Usimpe wala kumtajia mtu yeyote namba yako ya siri; iwe wakala wa Tigo Pesa,

mfanyakazi wa Tigo au mhudumu wa Tigo Huduma kwa Wateja. Pia kumbuka kubadili namba yako ya siri mara kwa mara. 

 

Wateja wenye akaunti zisizotumika kwa zaidi ya siku 180 watatozwa TSh 300/- kila mwezi kama gharama ya kutunza akaunti yao.Kiasi chochote ambacho hakitadaiwa na mteja wa akaunti isiyotumika kwa zaidi ya miaka 5 kitawasilishwa kwa mamlaka husika.

Kuwasiliana na Huduma kwa Wateja, Piga 100 bure au tembelea duka lolote la Tigo. 

 

*Ada zote zimejumuisha kodi zote zinazohusika.
*Kwa maelezo zaidi juu ya gharama na viwango ambavyo havijaainishwa kwenye tovuti, tafadhali piga 100 au tembelea maduka yetu ya Tigo.

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo