Voice Mail | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Voice Mail

Kuhusu Voice Mail:

Voice Mail ni huduma ya ujumbe wa sauti ambao mteja ana rekodi na kuacha kwa ajili ya aliyempigia. Aliyepigiwa huweza kufungua na kusikiliza kwa kucheza ujumbe huo kwenye simu yake.

Jinsi ya Kujiunga na Voice Mail:

Tuma neno VOICEMAIL kwenda 15095.

Jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma ya Voice Mail:

Tuma neno ONDOA kwenda 15095.

Vigezo na Masharti:

Maswali na Majibu:

  Huduma ya Voice Mail ni huduma gani?

Voice Mail ni huduma ya ujumbe wa sauti ambao mteja ana rekodi na kuacha kwa ajili ya aliyempigia. Aliyepigiwa huweza kufungua na kusikiliza kwa kucheza ujumbe huo kwenye simu yake

  Jinsi gani naweza kujiunga na huduma ya Voice Mail?

Tuma neno VOICEMAIL kwenda 15095

  Jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma ya Voice Mail? 

Tuma neno ONDOA kwenda 15095

  Vigezo gani vinaniwezesha kupata huduma ya Voice Mail?

1. Huduma hii ni kwa wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla

2. Wateja waliojiunga tu ndio wanaweza pata huduma

  Zipi gharama za huduma hii?

Huduma hii ni ya BURE hakuna gharama yeyote

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo