Tigo Pesa Wakala | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Tigo Pesa Wakala

Jinsi ya Kua Wakala wa Tigo Pesa

Kuwa wakala wa Tigo Pesa inaweza kuwa ni fursa kubwa kwako kutimiza malengo yako. Kama unataka kuwa wakala wa Tigo Pesa jaza fomu iliopo hapo chini na Timu yetu ya usajili wa mwakala itawasiliana nawe.

Kinachohitajika

1.       Kusaini mkataba wa kuwa wakala

2.       Kuweka pesa kwenye akaunti yako

Utakachopokea

1.       Mafunzo ya kuwa wakala

2.       Utapewa vifaa vya kazi ya uwakala

Ili kufanikiwa katika Biashara yako unahitaji

1.       Eneo zuri kwa biashara

2.       Kiasi cha kuweka katika akaunti yako

3.      Wasifu binafsi

4.       Leseni ya biashara

5.       Mkataba wa biashara

6.       TIN namba na malipo ya VAT

7.       Nakala ya kitambulisho

8.       Picha 2 ndogo za passport

Wasiliana na Wasajili wa Wakala wa Tigo Pesa

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo