Whatsapp ya Bure | Tigo Tanzania

Jua Emoji Yako

Mimi Ninajiskia


Kwa sababu nipo


Kitu ninachohitaji

Ofa

Whatsapp ni Nini?

 • WhatsApp ni huduma mazungumzo kati ya watumiaji wa simu kupitia internet. 
 • Zaidi ya watu milioni 900 wanaitumia huduma hii duniani kote. 
 • Inapatikana kwenye iPhone , Android na Blackberry.

Unaweza Kufanya Nini Na WhatsApp?

 • Kutuma ujumbe wa maandishi
 • Kushiriki mawasiliano ya habari
 • Kutumiana Picha na Video
 • Kushiriki eneo la sasa
 • Kushiriki redio na video
 • Kuunda Vikundi

Unawezaje kufurahia WhatsApp BURE?

 • Pakua WhatsApp
 • Weka kwenye simu yako
 • Jiunge na Kifurushi cha siku cha tsh 1000
 • Anza kutumia WhatsApp - BURE bila kutumia kiasi chochote cha internet cha kifurushi chako

 

Jinsi Ya Kujiunga?

Kifurushi cha Siku

Piga *148*00#  ->Tigo-Tigo Xtreme -> Masaa 24 -> Sh 1000= Dk 50 + SMS BILA KIKOMO + WHATSAPP BURE

Kifurushi cha siku cha Tsh 1000 kinajumlisha:

 • Dakika 45 kupiga simu Tigo kwenda Tigo kwa masaa 24
 • Dakika 5 kupiga simu Tigo kwenda mitandao mingine kwa masaa 24
 • SMS Bila kikomo kwa masaa 24
 • Whatsapp bure kwa siku 7

Pia, nunua laini mpya ya Tigo na utapata WhatsApp BURE kwa muda wa Wiki Moja

Kifurushi cha Wiki

Piga *148*00# ->Tigo-Tigo Xtreme/MiniKabang ->Wiki + WHATSAPP BURE.

Kifurushi cha Mwezi

Piga *148*00# ->Tigo-Tigo Xtreme/MiniKabang ->Mwezi + WHATSAPP BURE.

Pia, nunua laini mpya ya Tigo upate Whatsapp ya BURE kwa wiki nzima.

Pakua WhatsApp Sasa!

 

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo