Kujiunga | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..
 Binafsi

Jinsi ya Kujiunga na Tigo Games

Nenda jinsi-ya-kujiunga-na-tigo-games na ufuate maelekezo rahisi.

 

Jinsi ya Kujiunga na Sauti ya Maajabu

Sauti ya Maajabu inafurahisha sana. Tania familia na marafiki zako kwa kubadilisha sauti yako ifanane na ya mtu mwingine, au badilisha mwonekano wako na sauti zinazokuzunguka kuwa za kufurahisha.  

Bei zilizojumlisha kodi – Sauti za Maajabu:

  • Kwa dakika 15  = TZS 10.
  • Kwa dakika 15  = TZS 30.
  • Kwa dakika 15 = TZS 99.

Piga 0 901 656 565 na ufuate maelekezo jinsi ya kununua.

 

Jinsi ya Kujiunga na Tigo Hadithi

Wote tunapenda hadithi za kusisimua. Kuanzia hadithi za mapenzi, za kutisha na za kuelimisha, Tigo Hadithi ina stori kwa kila mtu. 

Unaweza kujiunga na Hadithi na ukapata tukio jipya kila siku au waweza nunua hadithi nzima nakusikiliza matukio tofauti kwa wakati wako.

Bei zilizojumlisha Kodi – Tigo Hadithi

  • Kwa dakika 5 za masimulizi = TZS 50.
  • Kwa dakika 10 za masimulizi = TZS 100.
  • Kwa dakika 15 za mazimulizi = TZS 150.
  • Kwa hadithi nzima = TZS 1,200  Tigo Pesa au TZS 1,300 kupitia salio lako la muda wa maongezi.

Peruzi, nunua na upate hadithi bora leo

 

Piga 0 901 656 564 na ufuate maelekezo jinsi ya kununua.

 

Jinsi ya Kujiunga na Tigo Beatz (RBT)

IVR – kwa kupiga 15050 au 15007 na kusikiliza kununua na kupanga nyimbo zako.

  

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo