loader image

Kampuni Ndogo

Mahususi kwa mahitaji ya kampuni yako
Jua Zaidi

Kampuni Kubwa

Huduma na bidhaa zenye kulenga wateja wako
Jua Zaidi

Ufumbuzi wa Sauti

Boresha mawasiliano ya kampuni yako wakati unapunguza gharama zake Jua Zaidi

Ufumbuzi wa kuunganishwa

Biashara yako lazima iwe imeunganishwa muda wote na ulimwengu wa kibiashara
Jua Zaidi

Ufumbuzi wa Data

Hifadhi nyaraka za kibiashara katika ulinzi bora na uifikie ukiwa popote popote na muda wowote
Jua Zaidi

Ufumbuzi wa hali ya juu

Boresha ufanisi wa biashara yako kwa kutumia huduma mahususi kwa biashara yako
Jua Zaidi

Kuhusu sisi

Tigo Business inakupa bidhaa na huduma mbalimbali ambazo zinakupa ufumbuzi wa mahitaji ya kampuni yako ikiwa inapunguza garama na kuongeza ufanisi

Unlimited Business Day

Tigo Business provides just that with a very competitive package offering more value than any of our competitors. With this solution, you can make unlimited calls during business hours so you are always connected and can focus on what is important – your business. Jua Zaidi

Huduma ya SMS

Nyenzo rahisi na haraka inayokupa uwezo wa kuwajulisha wateja wako kuhusu matangazo yako ya kibiashara, bila kujalisha wapo mtandao upi. Tuma ujumbe, bili na taarifa yoyote kupitia tovuti maalum Jua Zaidi

Intanet Binafsi

Ufumbuzi wa kuunganishwa wa Tigo Business unafanya biashara yako iunganishwe na dunia kwa intanet binafsi. Teknologia katika Tigo Business inahakikisha ufanisi na muendelezo wa kibiashara yako wakati wote na mahali popote kupitia njia salama na yenye uhakika kutoka kutoka na mtandao mkubwa na thabiti wa Tigo Tanzania Jua Zaidi

Data senta ya Tier 3

Data center yetu ina msingi mzuri wa programu na huduma bora Pamoja na kuunganishwa na huduma za ziada kwenye mandhari yenye ubora zikifuata ubora wa kimataifa Jua Zaidi

Tafuta duka la Tigo